Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Aanza Ziara ya Kikazi ya Siku 3 nchini Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakikagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya Rais Samia kuwasili Ikulu Cairo nchini Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021kwa ajili ya kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi ujumbe aliofuatana nao kwenye ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu  chini Misri iloanza leo  tarehe 10 Novemba 2021 kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi ujumbe aliofuatana nao kwenye ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu  chini Misri iloanza leo  tarehe 10 Novemba 2021 kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Misri wakati wa hafla ya utiaji saini Hati za makubaliano katika Nyanja ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo kati ya Tanzania na Misri Ikulu Cairo Misri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *