Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Afungua Mkutano wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Leo Tarehe 15 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya  JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Novemba, 2021 kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021 katika Kambi ya JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi (CDF) Venance Mabeyo mara baada ya kufungua mkutano Mkuu wa tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi leo tarehe 15 Novemba, 2021 lugalo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa JWTZ mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, kuhusu kujadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 15 Novemba, 2021 lugalo Jijini Dar es Salaam. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *