Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mjadala kwa Njia ya Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika tarehe 20 Novemba, 2021 Ikulu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kwenye mjadala wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (AWLN) uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 20 Novemba 2021 Ikulu Zanzibar.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *