Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Afunga Mafunzo ya ya Uofisa (Warakibu Wasaidizi wa Polisi ASP) Kozi na. 01/2021 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Gwaride maalum la Maofisa wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 yenye lengo la kuimarisha kiwango cha Utendaji kazi katika Jeshi la Polisi nchini katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu aliyefanya vizuri katika nidhamu PF 17874 ASP Ally Juma Mwapumba kati ya Maofisa Wanafunzi wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali yaliyofanyika tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
4-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu aliyefanya vizuri katika Medani za Kivita PF 18911 ASP Evelyne Mathias Msobi katika Mahafali iliyofanyika tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na  Wahitimu wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali ya kufunga mafunzo ya kozi hiyo yaliyofanyika tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam
.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *