Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma Tarehe 15 Desemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2021............