Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party ) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party ) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mabalozi Mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya 2022 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party ) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Post navigation
← TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI →