Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Tundu Lissu, Brussels nchini Ubelgiji Tarehe 16 Februari, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanasiasa ambaye pia ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu tarehe 16 Februari, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwanasiasa ambaye pia ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu tarehe 16 Februari, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *