Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Mkoani Geita Kuhudhuria Sherehe za Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wa Kiaskofu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita tarehe 22 Februari, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wasanii wa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita tarehe 22 Februari, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa na viongozi mbalimbali wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wilaya ya Ngara Mkoani Kagera.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *