Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na kuzungumza na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu UAE Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan- Abu Dhabi Tarehe 25 Februari, 2022 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwanamfalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Majeshi ya Nchi za Falme za Kiarabu UAE Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan mara baada ya kuwasili Abu Dhabi