Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ahutubia katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji na Kuzungumza na Watanzania Wanaoishi Umoja wa Falme za Kiarabu UAE-Dubai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.Sehemu ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE