Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Viongozi wa Dini Ikulu Jijini Dar Es Salaam Tarehe 02 Machi, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar Es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya Kikao chao kilichofanyika tarehe 02 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar Es salaam.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *