Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ahutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Yaliyofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Maisara-Zanzibar Tarehe 08 Machi, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Abeida Rashid Abdalla mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Maisara Zanzibar kwa ajili ya kushiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 08 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Husein Ali Mwinyi mara baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Sehemu ya Wananchi pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na na Kikundi cha ngoma za asili cha Bomu kutoka Unguja kabla ya kuhutubia Viongozi mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mwanandege kutoka kwa mtoto Mulhati Mahmoud aliyekuwa akicheza ngoma pamoja na wanakikundi wenzake katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Marais Wastaafu wa Zanzibar, Mhe. Amani Abeid Karume pamoja na Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Bi. Fatma Karume mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Mzee Abeid Amani Karume mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.Kikundi cha ngoma za asili cha Bomu kutoka Unguja kikitumbuiza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar tarehe 08 Machi, 2022.