Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akielezea kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Dar es Salam kwenye Maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PLASCO inayosambaza vifaa vya maji Injinia Alimiya Osman katika Maonesho ya Kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2022. Kushoto Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali katika kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Maji App itakayowezesha kupatikana kwa taarifa za utekelezeaji wa miradi ya maji katika Mikoa,Wilaya na vijiji mbalimbali nchini. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Taarifa ya mwaka ya Utendaji Kazi wa Mamlaka za maji na mazingira mijini kabla ya kuzungumza na viongozi mbalimbali katika maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mhandisi Judith Odunga kwa niaba ya Chama cha Wahandisi Wanawake Tanzania ya kutambua mchango wake katika utendaji wake wa kazi kwenye sekta ya maji nchini....