Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 26 Machi, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper mara baada ya Kikao chao kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Machi, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *