Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change ), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Mabadiliko Ulimwenguni (Tony Blair Institute for Global Change ), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Post navigation
← Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti na Rais wa Big Win Philanthropy Bi. Jamie Cooper, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 26 Machi, 2022
Mhe. Rais Samia Apokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Malawi, na Kushiriki Mkutano wa EAC Uliofanyika kwa Njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Tarehe 28 Machi, 2022 →