Mhe. Rais Samia Apokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Malawi, na Kushiriki Mkutano wa EAC Uliofanyika kwa Njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Tarehe 28 Machi, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Malawi hapa nchini Mhe. Andrew Posyantos Efron Zumbe kabla ya kupokea Hati yake ya Utambulisho katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo
tarehe 29 Machi, 2022.
Balozi wa Jamhuri ya Malawi nchini Tanzania Mhe. Andrew Posyantos Efron Zumbe akiwasilisha Hati yake ya Utambulisho katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Malawi hapa nchini Mhe. Andrew Posyantos Efron Zumbe mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho katika hafla fupi iliyofanyika kulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Machi, 2022.
.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Machi, 2022
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *