Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Maitha Al Shamsi, Ikulu Jijini Dodoma Tarehe 31 Machi, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu (UAE) hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *