Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Meya wa Jiji la New York nchini Marekani na Kuzzungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa Marekani Tarehe 18 Aprili, 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams Jijini humo nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Jiji hilo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 18 Aprili, 2022 nchini Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Jiji la New York Mhe. Eric Adams mara baada ya mazungumzo yao l

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mtangazaji Maarufu wa Kituo cha Television cha CBS nchini Marekani Bi. Gayle King wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa US African Development Foundation USADF Travis Adkins wakati alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari wa nchini Marekani katika Jiji la New York

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *