Mhe. Rais Samia atembelea Studio za Paramount Pictures Jijini Los Angeles tarehe 21 Aprili, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitembelea kuangalia kazi za utayarishaji wa filamu mbalimbali katika Studio za Paramount Pictures Jijini Los Angeles nchini Marekani kabla ya uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour
.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *