Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aswali Swala ya Eid al- Adha katika Msikiti wa Mikocheni B Jijini Dar es Salaam Tarehe 10 Julai, 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuswali Swala ya Eid  al- Adha kwenye Msikiti Maarufu kwa jina la ‘Msikiti wa Mwinyi’ Mikocheni B Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Julai, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *