Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Japan pamoja na Angola Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Japan nchini Tanzania kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa nchi hiyo Shinzo Abe aliyeuawa kwa kupigwa risasi nchini Japan tarehe 8 Julai, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo tarehe 11 Julai, 2022 katika Ubalozi wa Angola Jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Jose Aduardo dos Santos aliyefariki dunia nchini Hispania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *