Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kisiwani Pemba kwa ziara Tarehe 15 Julai, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vikundi mbalimbali vya ngoma za Utamaduni  alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha CUF Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ADC Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *