Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye Ikulu Jijini Arusha Tarehe 23 Julai, 2022 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye alipowasili Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 23 Julai, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambae pia ni Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 23 Julai, 2022.