Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Makete Mkoani Njombe Tarehe 10 Agosti, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  na Wananchi wa Njombe mjini baada ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe – Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe – Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Barabara ya Njombe – Makete KM107.4 Mkoani Njombe mara baada ya kuifungua rasmi Barabara hiyo tarehe 09 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Makete mara baada ya kufungua rasmi Barabara ya Njombe- Makete km107.4 Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
 

Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete km 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.
.
.
.
.
.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *