TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mtendaji  wa Tume ya Madini.

Kabla ya uteuzi huu Mhandisi Yahya Ismail Samamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Uteuzi huu umeanza tarehe 27 Februari, 2023. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *