Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi (Ccm)-Moshi Mkoani Kilimanjaro Tarehe 08 Machi, 2023 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Eneo la Bomang`ombe Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023