TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Moremi Marwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA). 

Bw. Marwa ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA). 

Uteuzi huu umeanza tarehe 14 Mei, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *