Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amfariji Mzee Malecela nyumbani kwake Kilimani, Mkoani Dodoma Tarehe 22 Mei, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu  alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023,
kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *