Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax wa tatu kutoka kulia akiwa pamoja na ujumbe wa Tanzania
Post navigation
← Mhe. Rais Samia awaandalia Chakula cha Jioni Viongozi Wakuu wa Nchi mbalimbali pamoja na Washiriki wa Mkutano wa Rasilimali Watu Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2023
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023 →