TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Stella Rwehabuka Kahwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo. Bi. Kahwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA). 

Uteuzi wake umeanza tarehe 06 Agosti, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *