Mhe. Rais Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya nyumbani kwake Arusha tarehe 20 Agosti, 2023 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha tarehe 20 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.