Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mshauri wa Mwanamfalme wa Saudi Arabia tarehe 04 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *