Rais Samia Suluhu Hassan ampa pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na Kaka yake Issa Juma Ngalapa aliyefariki alfajiri ya leo,  Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
 
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *