Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28), Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Kilimo tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023. Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Kilimo tarehe 03 Desemba, 2023
Mawaziri na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na baadhi ya viongozi pamoja na Wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi pamoja na wafanyabiashara kuonesha ushirikiano na Mshikamano wa Kupambana na magonjwa yasiopewa kipaumbele
wakati wa Mkutano wa Afya, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *