TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Leave a reply UTENGUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi – Wizara ya Nishati. Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine.