Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika. Mkutano huo ulifanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *