Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia Viongozi na Wageni katika Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika. Mkutano huo umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni, 2024.