TAZAMA VIDEO YA MAPOKEZI YA ZIARA YA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA ALIPOITEMBELEA TANZANIA 2013
Rais Barack Obama na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Dar es salaam
Mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama akiwasili Ikulu Dar es salaam na mwenyeji wake mke Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Salma Kikwete