Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri. December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri. December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri. December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri. Desember 9, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri
leo Jumatatu December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kukakamavu kuelekea jukwaa kuu baada ya kuikagua gwaride la heshima Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri. Desember 9,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe na
viongozi wengine pamoja na viongozi wastaafu wakifuatilia onesho la Makomandoo wa JWTZ lililoandaliwa kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Gwaride la Heshma liliondaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Polisi, Magereza na JWTZ yakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Kikosi cha Makomando wa JWTZ wakionesha umahiri wao wa kufanya zoezi la uokozi katika mfano wa Tukio la Utekaji.

Askari wa kikosi cha Zimamoto na Uokoaji cha JWTZ wakifanya onesho la namna ya kupambana na moto kwa kutumia gari lililotengenezwa na shirika la Nyumbi, Kibaha, katika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya
Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Desemba 9, 2019
Kikundi cha Sungusungu cha kutoka Kwimba mkoani Mwanza kikitumbuiza katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.

Msanii Rajabu Abduli maarufu kama “Harmonize” akitumbuiza
katika Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara akicheza ngoma na
wacheza ngoma ya Litungu ya kabila la Wakurya waliokuwa wakitumbuiza kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Desemba 9, 2019
Baadhi ya Mawaziri wakiimba na kucheza wimbo wa Harmonize wakati wa sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na miaka 57 ya Jamhuri zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijjini Mwanza.
Viongozi mbalimbali wakiwemo Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakimpungia mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiondoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mara baada ya sherehe za Uhuru.