RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AZINDUA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA NOVEMBA 20,2015

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph magufuli akihutubia Bunge la Jamhuri kama ishara ya kuzindua Bunge la 11.Novemba 20,2019

19

  20

 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wakisikiliza kwa makini na kufurahia hotuba ya Rais

10da49f7-bc3d-4eac-ad46-acc32952bc91Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015  

4bd8e87d-52a6-47db-b4f4-ec215e1bbe81   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao  kwenye mchapalo  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Novemba 20, 2015. 

5550bc40-2352-42c8-a9df-065dd20f742c :Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa huku Spika Mstaafu mwingine Mhe Anne Makinda akisubiri zamu yake muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015

022a4c2b-ad4a-4d23-a38b-8f1f39fceee1

 

 

0c6dbc59-48bf-427a-8ec4-b80edf69e4ce

 

 

135bba8a-0d7f-41ae-b405-a33e3cf68c73

 

 

d3538f21-423d-4e85-8f3e-33de0517d791 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Benjamin William Mkapa  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015

eabf6244-756f-4b80-b2f6-4c9ef41ec34e Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wakuu na wabunge muda  mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Novemba 20, 2015

3035e35b-bd59-4df4-ad20-c37863219650 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa unyenyekevu mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015

022a4c2b-ad4a-4d23-a38b-8f1f39fceee1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe  Pandu Ameir Kificho  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015

d3755499-39a1-494a-8cc6-93a8639ba363Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge kwenye mchapalo muda  mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015

79fbd042-93a9-4086-9073-4e73a94dd168 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Novemba 20, 2015

2866dd77-22b8-42ae-8daf-8df4ddc098f3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mhe Anthony Diallo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Novemba 20, 2015

2d930e32-c439-4773-87e2-211a7a19f37b Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Shadya Karume na MAma Khadija Mwinyi  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Novemba 20, 2015  

3138e66e-c0d5-49bf-84ce-94cd802cd2fb Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na  wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo  muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. Ni hapo alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200 zilizochangwa na wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa kununulia vitanda vya wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

2a3a5537-6a3d-43cd-a882-2d8b6c3b546f

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na badhi ya mabalozi wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma  Novemba 20, 2015. 

6b5cce0a-8793-4553-a2eb-9b9b01bf2075

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Spika Job Ndugai  wakati anaondoka baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *