Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa Wizara Mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam Januari 01,2016 Hapa ni picha ya pamoja na Manaibu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa Wizara Mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam Januari 01,2016 Hapa ni picha ya pamoja na Manaibu Makatibu wakuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Adolf F. Mkenda kuwa Katibu Mkuu – wizara ya Biashara na Uwekezaji Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Joseph Maseke Nyamhanga kuwa Katibu Mkuu Ujenzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Aziz Ponary Mlima kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maria Salome Mashingo kuwa Katibu Mkuu MifugoIkulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hamis Mwinyimvua kuwa Katibu Mkuu – Sera Ofisi ya Waziri Mkuu Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Wakili Mkuu Meja Jenerali Projest Anatory Rwegasira kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi kuwa Katibu Mkuu wizara ya maliasili na utalii Mkuu Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Lauren Josephat Ndumbaro kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu – Mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Justus W. Ntalikwa (Katibu Mkuu) Wizara ya Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard M.Chamuliho (Katibu Mkuu – Uchukuzi) Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mpoki Ulisubisya (Katibu Mkuu – Afya) Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIAPISHA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WA WIZARA MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 1,2016
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,Profesa James Epifani Mdoe akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam Januarin1,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha James Dotto Mgosha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)Ikulu jijini Dar es salaam January 1, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Amon Anastaz Mpanju ambaye ni mlemavu wa macho kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria Ikulu jijini Dar es Salaam.