Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kasha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kasha kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016