Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi Yahel Vilan wa Israel hapa nchini kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Januari 19, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi Yahel Vilan wa Israel hapa nchini Ikulu Jijini Dar es salaam Januari 19, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi Yahel Vilan wa Israel hapa nchini Ikulu Jijini Dar es salaam Januari 19, 2016 baada ya kufanya naye mazungumzo