RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEANZA ZIARA YA SIKU 3 MKOANI ARUSHA JANUARI 21,2016

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA Mkoa wa Kilimanjaro. Rais Magufuli ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha Januari 21,2016

1a

 

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na viongozi mbalimbali wa serikali wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Kirimanjaro kwa ajili ya ziara ya siku 3 Mkoani Arusha Januari 21,2016

4

 

 

5

 

6

 

 

22a

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifuarahia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege cha Kirimanjaro kwa ajili ya ziara ya siku 3 Mkoani Arusha Januari 21,2016

DSC_6455

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mashuhuri mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kulia ni mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala kushoto ni mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Arusha Daudi Felix Ntibenda Rais Magufuli ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha Januari 21,2016

7

 

8

 

DSC_6467

 

DSC_6495

 

DSC_6509

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mimia ya wananchi waliokuwa wamejipanga katika barabara ya KIA Arusha kwa ajili ya mapokezi makubwa ya Rais , Rais Magufuli ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha Januari 21,2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *