Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman mara baada kuwasili katika viwanja vya Mahakama – Chimala Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Mwaka Mpya wa shuguli za Kimahakama katika siku ya Sheria Duniani Februari 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Wadau mbalimbali wa Seria akisikiliza hotubia ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja na majiji mbalimbali mara baada uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph katika picha ya pamoja na jaji mkuu wa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa katiba na sharia Dr. Harson Mwakyembe,Naibu spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson, jaji Mkuu wa Kenya Dkt. Willy Mutunga pamoja naviongozi mbalimbali wa Dini mara baada uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016