RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHURIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM YALIYOFANYIKA MKOANI SINGIDA FEBRUARI 6,2016

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Namfua Mkoani Singida kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM, Maadhimisho hayo yamefanyika Mkoani Singida kitaifa Februari 6,2016

3

 

 

4WEWCC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanachama wa CCM pamoja na wakazi wa Singida kwenye uwanja wa Namfua waliohudhuria kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM, Maadhimisho hayo yamefanyika Mkoani Singida kitaifa Februari 6,2016

5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kulia ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Singida.

6..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abruhamani Kinana

7..Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia mamia ya wanachama wa CCM mkoani Singida.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa katika sherehe hizo mkoani Singida.

9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abrahamani Kinana pamoja na Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Philip Mangula mara baada ya kuhutubia wanachama wa CCM na wakazi wa Singida

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiondoka mara baada ya kuisha kwa sherehe za kumbukumbu ya miaka 39 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM maadhimisho hayo yamefanyika Mkoani Singida kitaifa  

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *