WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHE. DKT. AUGUSTINE MAHIGA AMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUWAANDALIA MABALOZI MCHAPALO WA MWAKA MPYA (SHERRY PARTY) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARY 8,2016

35910c93-ec81-4645-98e6-448e28c2eb7b

 

a372938b-fbf6-441f-adc3-41f2d7b0721d

 

 

e48ff296-01e8-44eb-bc07-7e09ad412079

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati  akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika Mchapalo wa Mwaka Mpya kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016

f80f8b3d-12fb-4428-b704-057f5f25d4f5 Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akihutubia wakati  akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika Mchapalo wa Mwaka Mpya  maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016

90aef352-2c8b-4df5-9a1f-9638f9bce80fWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga katika picha ya pomoja na Mabalozi na Wawakilishi wa Taasisi mbalimbali za Kimtaifa baada ya Mchapalo wa Mwaka Mpya  maarufu kama “Sherry Party” Ikulu jijini Dar es salaam February 8, 2016

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *