Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa majaliwa akisalimiana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mgeni wake Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakiwa katika jukwaa kwa ajili ya kuimbiwa nyimbo za matifa yote mamwili kabla ya kukagua gwaride alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akikagua gwaride alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam, pembeni ni wananchi na wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea Rais wa Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakati walipokuwa wanazungumza Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mazungumzo Rasmi kati ya ujumbe wa Tanzania na Ujumbe wa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang Ikulu jijini Dar es Salaam.