RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAJENGO YA KITEGA UCHUMI YA PPF NA NSSF MJINI ARUSHA MEI 09,2016

1-PPFRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana, Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha Mstahiki Calist Lazaro Bukhai, Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Ramadhani Khijja wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha

3

 

3.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa PPF na NSSF pamoja na wananchi wa jiji la Arusha kabla ya kufungua rasmi jengo la la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya ofisi katika jengo hilo la Mfuko wa Pensheni PPF mara baada ya kulifungua

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango kabla ya kufungua rasmi jengo la la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha 

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa PPF pamoja na Menejimenti nzima. Wengine katika picha ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai, Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Ramadhani Khijja.

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai wakitoka kwenye jengo la Kitega uchumi la PPF mara baada ya kulingua jijini Arusha.

8Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya ufunguzi rasmi wa Jengo la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.

9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati kikundi cha ngoma za asili cha kimasai kilipokuwa kikitumbuiza pembezoni mwa jengo la kitega uchumi la NSSF jijini Arusha 

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati brass bendi ya Polisi ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya ufunguzi wa mwa jengo la kitega uchumi la NSSF jijini Arusha

11

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi wa ujenzi wa Jengo la kitega uchumi la NSSF Mafao House jijini Arusha

12 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango wakivuta utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la NSSF Mafao House jijini Arusha.

13 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama wakita utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la kitega uchumi la NSSF Mafao House jijini Arusha 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *