RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI PAMOJA NA WAZIRI WA KILIMO MIFUNGO NA UVUVI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 13,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Charles John Tizeba (Mb) kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam

6 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba kulia pamoja na kaka yake Mhandisi Adrian Tizeba mara baada ya kumalizika kwa tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Mhandisi Adrian Tizeba ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Mwanza amerejea rasmi Chama cha Mapinduzi CCM.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *